Exodus 32:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamwuliza Aroni, “Walikufanya nini watu hawa hata ukawaingiza katika dhambi kubwa hivyo?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akamwambia Haruni, “Watu hawa walikufanyia nini, hata ukawaongoza kufanya dhambi kubwa hivyo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akamwambia Haruni Watu hawa wamekufanyani hata ukaleta dhambi hii kuu juu yao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamwuliza Aroni, “Walikufanya nini watu hawa hata ukawaingiza katika dhambi kubwa hivyo?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akamwambia Aroni, “Watu hawa walikufanyia nini, hata ukawaongoza kufanya dhambi kubwa hivyo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akamwambia Haruni, “Watu hawa walikufanyia nini, hata ukawaongoza kufanya dhambi kubwa hivyo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akamwambia Haruni, Watu hawa wamekufanya nini hata ukaleta dhambi hii kuu juu yao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamwuliza Aroni, “Walikufanya nini watu hawa hata ukawaingiza katika dhambi kubwa hivyo?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akamwuliza Haroni: Watu hawa wamekukosea nini, ukiwakosesha kosa kubwa kama hili?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akamwambia Haruni Watu hawa wamekufanyani hata ukaleta dhambi hii kuu juu yao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamwuliza Haruni: Walikufanya nini watu hawa hata ukawaingiza katika zambi kubwa hivyo?