Exodus 32:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni akamjibu, “Nakuomba ee bwana wangu hasira yako isiniwakie mimi mtumishi wako. Unawafahamu jinsi watu hawa walivyo tayari kutenda maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni akamwambia, “Usikasirike bwana wangu. Unajua jinsi watu hawa walivyo tayari kwa maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haruni akasema, Hasira ya bwana wangu isiwake, wewe unawajua watu hawa, ya kuwa wamejielekeza kwa mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni akamjibu, “Nakuomba ee bwana wangu hasira yako isiniwakie mimi mtumishi wako. Unawafahamu jinsi watu hawa walivyo tayari kutenda maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni akamwambia, “Usikasirike bwana wangu. Unajua jinsi watu hawa walivyo tayari kwa maovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni akamwambia, “Usikasirike bwana wangu. Unajua jinsi watu hawa walivyo tayari kwa maovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haruni akasema, Hasira ya bwana wangu isiwake, wewe unawajua watu hawa, ya kuwa wamejielekeza kwa mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni akamjibu, “Nakuomba ee bwana wangu hasira yako isiniwakie mimi mtumishi wako. Unawafahamu jinsi watu hawa walivyo tayari kutenda maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haroni akamwambia: Bwana wangu, makali yako yasiwake moto! Unawajua watu hawa, ya kuwa ni wabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haruni akasema, Hasira ya bwana wangu isiwake, wewe unawajua watu hawa, ya kuwa wamejielekeza kwa mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni akamujibu: Ninakuomba, ee bwana wangu, hasira yako isiniwakie mimi mutumishi wako. Unafahamu jinsi watu hawa wanavyokuwa tayari kutenda maovu.