Exodus 32:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nikawaambia, kila mmoja aliye na vito vya dhahabu na avilete. Basi, wakaniletea, nami nikaviyeyusha motoni na huyu ndama akatokea.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nikawaambia, ‘Yeyote aliye na kito chochote cha dhahabu avue.’ Kisha wakanipa hiyo dhahabu, nami nikaitupa motoni, akatokea huyu ndama!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikawaambia, Mtu ye yote aliye na dhahabu na aivunje; basi wakanipa, nami nikaitupa ndani ya moto, akatoka ndama huyu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nikawaambia, kila mmoja aliye na vito vya dhahabu na avilete. Basi, wakaniletea, nami nikaviyeyusha motoni na huyu ndama akatokea.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nikawaambia, ‘Ye yote aliye na kito cho chote cha dhahabu avue.’ Kisha wakanipa hiyo dhahabu, nami nikaitupa motoni, akatokea huyu ndama!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nikawaambia, ‘Yeyote aliye na kito chochote cha dhahabu avue.’ Kisha wakanipa hiyo dhahabu, nami nikaitupa motoni, akatokea huyu ndama!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikawaambia, Mtu yeyote aliye na dhahabu na aivunje; basi wakanipa, nami nikaitupa ndani ya moto, akatoka ndama huyu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nikawaambia, kila mmoja aliye na vito vya dhahabu na avilete. Basi, wakaniletea, nami nikaviyeyusha motoni na huyu ndama akatokea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawaambia: Kila mwenye dhahabu na aziondoe kwake, anipe mimi! Basi, waliponipa, nikazitupa motoni, ikatoka ndama hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikawaambia, Mtu ye yote aliye na dhahabu na aivunje; basi wakanipa, nami nikaitupa ndani ya moto, akatoka ndama huyu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikawaambia, kila mumoja aliyekuwa na pete za zahabu azilete. Basi, wakaniletea, nami nikaziyeyusha juu ya moto na huyu mwana-ngombe akatokea.