Exodus 32:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akasimama mbele ya lango la kambi na kuuliza, “Ni nani aliye upande wa Mwenyezi-Mungu? Na aje kwangu.” Wana wote wa Lawi wakakusanyika pamoja mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akasimama kwenye ingilio la kambi, akasema, “Yeyote aliye upande wa Mwenyezi Mungu, aje upande wangu.” Walawi wote wakamjia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo Musa akasimama katika mlango wa marago, akasema, Mtu awaye yote aliye upande wa Bwana, na aje kwangu. Wana wa Lawi wote wakamkusanyikia
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akasimama mbele ya lango la kambi na kuuliza, “Ni nani aliye upande wa Mwenyezi-Mungu? Na aje kwangu.” Wana wote wa Lawi wakakusanyika pamoja mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akasimama kwenye ingilio la kambi, akasema, “Ye yote aliye upande wa BWANA, aje upande wangu.” Walawi wote wakamjia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akasimama kwenye ingilio la kambi, akasema, “Yeyote aliye upande wa bwana, aje upande wangu.” Walawi wote wakamjia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo Musa akasimama katika mlango wa kambi, akasema, Mtu yeyote aliye upande wa BWANA, na aje kwangu. Wana wa Lawi wote wakamkusanyikia
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akasimama mbele ya lango la kambi na kuuliza, “Ni nani aliye upande wa Mwenyezi-Mungu? Na aje kwangu.” Wana wote wa Lawi wakakusanyika pamoja mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Mose alipokwenda kusimama langoni penye makambi, akasema: Aliye wa Bwana na aje kwangu! Ndipo, wana wa Lawi walipokusanyika wote kwake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo Musa akasimama katika mlango wa marago, akasema, Mtu awaye yote aliye upande wa BWANA, na aje kwangu. Wana wa Lawi wote wakamkusanyikia
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akasimama mbele ya mulango wa kambi na kuuliza: Ni nani anayekuwa upande wa Yawe? Akuje kwangu. Wana wote wa Lawi wakakusanyika pamoja mbele yake.