Exodus 32:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Lawi wakafanya kama Mose alivyowaagiza. Siku hiyo waliuawa watu wapatao 3,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walawi wakafanya kama Musa alivyoamuru, siku ile wakafa watu wapatao elfu tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao wana wa Lawi wakafanya kama vile alivyosema Musa, wakaanguka siku ile kama watu elfu tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Lawi wakafanya kama Mose alivyowaagiza. Siku hiyo waliuawa watu wapatao 3,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walawi wakafanya kama Mose alivyoamuru, siku ile wakafa watu wapatao 3,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walawi wakafanya kama Musa alivyoamuru, siku ile wakafa watu wapatao 3,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao wana wa Lawi wakafanya kama vile alivyosema Musa, wakaanguka siku ile kama watu elfu tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Lawi wakafanya kama Mose alivyowaagiza. Siku hiyo waliuawa watu wapatao 3,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Lawi wakayafanya, Mose aliyowaambia, wakauawa siku hiyo watu wa ukoo huo kama 3000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao wana wa Lawi wakafanya kama vile alivyosema Musa, wakaanguka siku ile kama watu elfu tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Lawi wakafanya kama vile Musa alivyowaagiza. Siku hiyo watu yapata elfu tatu waliuawa.