Exodus 32:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu wote wakatoa vipuli vyote vya dhahabu masikioni mwao, wakamletea Aroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo watu wote wakavua vipuli vyao, wakavileta kwa Haruni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu wote wakatoa vipuli vyote vya dhahabu masikioni mwao, wakamletea Aroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo watu wote wakavua vipuli vyao, wakavileta kwa Aroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo watu wote wakavua vipuli vyao, wakavileta kwa Haruni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu wote wakatoa vipuli vyote vya dhahabu masikioni mwao, wakamletea Aroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu wote walipoziondoa pete za dhahabu za masikioni kwao, wakampelekea Haroni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu wote wakatoa pete zote za zahabu za masikio yao, wakamuletea Haruni.