Exodus 32:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake Mose akawaambia watu, “Mmetenda dhambi kubwa! Sasa nitamwendea Mwenyezi-Mungu juu mlimani; labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku iliyofuata Musa akawaambia watu, “Mmefanya dhambi kubwa. Lakini sasa nitapanda juu kwa Mwenyezi Mungu, labda nitaweza kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata asubuhi yake Musa akawaambia watu, Mmetenda dhambi kuu; na sasa nitakwenda juu kwa Bwana, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake Mose akawaambia watu, “Mmetenda dhambi kubwa! Sasa nitamwendea Mwenyezi-Mungu juu mlimani; labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku iliyofuata Mose akawaambia watu, “Mmefanya dhambi kubwa. Lakini sasa nitapanda juu kwa BWANA, labda nitaweza kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku iliyofuata Musa akawaambia watu, “Mmefanya dhambi kubwa. Lakini sasa nitapanda juu kwa bwana, labda nitaweza kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata asubuhi yake Musa akawaambia watu, Mmetenda dhambi kuu; na sasa nitakwenda juu kwa BWANA, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake Mose akawaambia watu, “Mmetenda dhambi kubwa! Sasa nitamwendea Mwenyezi-Mungu juu mlimani; labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa kesho yake, ndipo, Mose alipowaambia watu: Ninyi mmekosa kosa kubwa; sasa nitapanda kwenda kwa Bwana, nitazame, kama nitaweza kuwapatia upozi kwa ajili ya kosa lenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata asubuhi yake Musa akawaambia watu, Mmetenda dhambi kuu; na sasa nitakwenda juu kwa BWANA, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake Musa akawaambia watu: Mumetenda zambi kubwa! Sasa nitamwendea Yawe juu kwenye mulima; labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya zambi yenu.