Exodus 32:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nitamfuta katika kitabu changu mtu yeyote aliyenitendea dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamjibu Musa, “Yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta kutoka kitabu changu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia Musa, Mtu ye yote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nitamfuta katika kitabu changu mtu yeyote aliyenitendea dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamjibu Mose, “Ye yote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta kutoka kwenye kitabu changu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamjibu Musa, “Yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta kutoka kwenye kitabu changu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamwambia Musa, Mtu yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nitamfuta katika kitabu changu mtu yeyote aliyenitendea dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana akamwambia Mose: Anikoseaye ndiye, nitakayemfuta katika Kitabu changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamwambia Musa, Mtu ye yote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe akamwambia Musa: Nitamufuta katika kitabu changu mutu yeyote aliyenitendea zambi.