Exodus 32:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawafahamu watu hawa; wao wana vichwa vigumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Bwana akamwambia Musa, Mimi nimewaona watu hawa, na tazama, ni watu wenye shingo ngumu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawafahamu watu hawa; wao wana vichwa vigumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Mose, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Musa, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena BWANA akamwambia Musa, Mimi nimewaona watu hawa, ni watu wakaidi
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawafahamu watu hawa; wao wana vichwa vigumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose: Nikiwatazama watu hawa ninawaona kuwa watu wenye kosi ngumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena BWANA akamwambia Musa, Mimi nimewaona watu hawa, na tazama, ni watu wenye shingo ngumu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawafahamu watu hawa. Wao wana vichwa vigumu.