Exodus 33:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akasema, “Mimi mwenyewe nitakwenda pamoja nawe, na nitakupa faraja.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akajibu, “Uso wangu utaenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akasema, “Mimi mwenyewe nitakwenda pamoja nawe, na nitakupa faraja.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akasema, “Mimi mwenyewe nitakwenda pamoja nawe, na nitakupa faraja.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Uso wangu utakwenda na wewe, ukuongoze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akasema: Mimi mwenyewe nitakwenda pamoja nawe na nitakupa raha.