Exodus 33:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akasema, “Kama wewe binafsi hutakwenda pamoja nami, basi, usituondoe mahali hapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akamwambia, “Kama Uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwambia, Uso wako usipokwenda pamoja nami, usituchukue kutoka hapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akasema, “Kama wewe binafsi hutakwenda pamoja nami, basi, usituondoe mahali hapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akamwambia, “Kama Uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akamwambia, “Kama Uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamwambia, Uso wako usipokwenda pamoja nami, usituchukue kutoka hapa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akasema, “Kama wewe binafsi hutakwenda pamoja nami, basi, usituondoe mahali hapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Uso wako usipokwenda na sisi, usitutoe huku kwenda huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwambia, Uso wako usipokwenda pamoja nami, usituchukue kutoka hapa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akasema: Kama wewe peke yako hautakwenda pamoja nami, basi, usituondoe pahali hapa.