Exodus 33:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamtuma malaika awaongoze; nitawafukuza Wakaanani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamtuma malaika mbele yenu, naye atawafukuza Wakanaani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitamtuma malaika aende mbele yako; nami nitawafukuza Mkanaani, na Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamtuma malaika awaongoze; nitawafukuza Wakaanani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamtuma malaika mbele yenu, naye atawafukuza Wakanaani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamtuma malaika mbele yenu, naye atawafukuza Wakanaani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitamtuma malaika aende mbele yako; nami nitawafukuza Mkanaani, na Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamtuma malaika awaongoze; nitawafukuza Wakaanani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitamtuma malaika wangu, akutangulie; tena nitawafukuza Wakanaani na Waamori na Wahiti na Waperizi, Wahiwi na Wayebusi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitamtuma malaika aende mbele yako; nami nitawafukuza Mkanaani, na Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamutuma malaika awaongoze. Nitawafukuza Wakanana, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.