Exodus 33:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hutaweza kuniona uso maana hakuna mwanadamu yeyote atakayeniona na kuishi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mungu akasema, “Hutaweza kuuona uso wangu, kwa kuwa hakuna mtu yeyote awezaye kuniona akaishi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akasema, Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hutaweza kuniona uso maana hakuna mwanadamu yeyote atakayeniona na kuishi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mungu akasema, “Hutaweza kuuona uso wangu, kwa kuwa hakuna mtu ye yote awezaye kuniona akaishi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mungu akasema, “Hutaweza kuuona uso wangu, kwa kuwa hakuna mtu yeyote awezaye kuniona akaishi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akasema, Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hutaweza kuniona uso maana hakuna mwanadamu yeyote atakayeniona na kuishi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia tena: Lakini uso wangu huwezi kuuona, kwani hakuna mtu atakayekuwa yu hai akiisha kuniona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akasema, Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hautaweza kuniona uso maana hakuna mwanadamu yeyote atakayeniona na kuishi.