Exodus 33:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kuna mahali karibu nami ambapo utasimama juu ya mwamba;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akasema, “Kuna mahali karibu nami ambapo unaweza kusimama juu ya mwamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akasema, Tazama, hapa pana mahali karibu nami, nawe utasimama juu ya mwamba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kuna mahali karibu nami ambapo utasimama juu ya mwamba;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akasema, “Kuna mahali karibu nami ambapo unaweza kusimama juu ya mwamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akasema, “Kuna mahali karibu nami ambapo unaweza kusimama juu ya mwamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akasema, Tazama, hapa pana mahali karibu nami, nawe utasimama juu ya mwamba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kuna mahali karibu nami ambapo utasimama juu ya mwamba;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia tena: Nitakuonyesha mahali, ndipo upate kusimama juu ya mwamba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akasema, Tazama, hapa pana mahali karibu nami, nawe utasimama juu ya mwamba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yawe akamwambia Musa: Kuna pahali karibu nami ambapo utasimama juu ya jiwe.