Exodus 33:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na utukufu wangu utakapokuwa unapita, nitakutia katika pango mwambani na kukufunika kwa mkono wangu, mpaka nitakapokuwa nimepita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utukufu wangu unapopita, nitakuweka gengeni kwenye mwamba, na kukufunika kwa mkono wangu hadi nitakapokuwa nimepita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha itakuwa wakati unapopita utukufu wangu, nitakutia katika ufa wa ule mwamba, na kukufunika kwa mkono wangu hata nitakapokuwa nimekwisha kupita;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na utukufu wangu utakapokuwa unapita, nitakutia katika pango mwambani na kukufunika kwa mkono wangu, mpaka nitakapokuwa nimepita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utukufu wangu unapopita, nitakuweka gengeni kwenye mwamba na kukufunika kwa mkono wangu mpaka nitakapokwisha kupita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utukufu wangu unapopita, nitakuweka gengeni kwenye mwamba na kukufunika kwa mkono wangu mpaka nitakapokwisha kupita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha itakuwa wakati unapopita utukufu wangu, nitakutia katika ufa wa ule mwamba, na kukufunika kwa mkono wangu hata nitakapokuwa nimekwisha kupita;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na utukufu wangu utakapokuwa unapita, nitakutia katika pango mwambani na kukufunika kwa mkono wangu, mpaka nitakapokuwa nimepita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, utukufu wangu utakapopita, nitakuweka katika pango la huo mwamba na kukukingia kwa mkono wangu, mpaka nitakapokwisha kupita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha itakuwa wakati unapopita utukufu wangu, nitakutia katika ufa wa ule mwamba, na kukufunika kwa mkono wangu hata nitakapokuwa nimekwisha kupita;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wangu utakapokuwa unapita, nitakutia katika pango chini ya jiwe na kukufunika kwa mukono wangu, mpaka nitakapokuwa nimepita.