Exodus 33:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu nitauondoa mkono wangu nawe utaniona nyuma, lakini uso wangu hutauona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nitaondoa mkono wangu nawe utaona mgongo wangu; lakini kamwe uso wangu hautaonekana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitaondoa mkono wangu, nawe utaniona nyuma yangu, bali uso wangu hautaonekana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu nitauondoa mkono wangu nawe utaniona nyuma, lakini uso wangu hutauona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nitaondoa mkono wangu nawe utaona mgongo wangu; lakini kamwe uso wangu hautaonekana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nitaondoa mkono wangu nawe utaona mgongo wangu; lakini kamwe uso wangu hautaonekana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitaondoa mkono wangu, nawe utaniona nyuma yangu, bali uso wangu hautaonekana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu nitauondoa mkono wangu nawe utaniona nyuma, lakini uso wangu hutauona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakapouondoa mkono wangu, utaweza kutazama nyuma yangu, lakini uso wangu mtu hawezi kuuona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitaondoa mkono wangu, nawe utaniona nyuma yangu, bali uso wangu hautaonekana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nitaondoa mukono wangu nawe utaona mugongo wangu, lakini uso wangu hautauona.