Exodus 33:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walilia waliposikia habari hizi mbaya; wala hakuna aliyevaa mapambo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliposikia habari hizo za huzuni, wakaanza kuomboleza wala hakuna mtu aliyevaa mapambo yoyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu waliposikia habari hizo mbaya wakaomboleza wala hapana mtu aliyevaa vyombo vyake vya uzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walilia waliposikia habari hizi mbaya; wala hakuna aliyevaa mapambo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waliposikia habari hizo za huzuni, wakaanza kuomboleza wala hakuna mtu aliyevaa mapambo yo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliposikia habari hizo za huzuni, wakaanza kuomboleza wala hakuna mtu aliyevaa mapambo yoyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu waliposikia habari hizo mbaya wakaomboleza wala hakuna mtu aliyevaa mapambo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walilia waliposikia habari hizi mbaya; wala hakuna aliyevaa mapambo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipolisikia hili neno baya wakasikitika, wala hakuonekana mtu aliyeyavaa mapambo yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu waliposikia habari hizo mbaya wakaomboleza wala hapana mtu aliyevaa vyombo vyake vya uzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakalia waliposikia habari hizi mbaya, wala hakuna aliyevaa mapambo yake.