Exodus 34:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mtazibomoa madhabahu zao na kuzivunja nguzo zao za ibada na sanamu zao za Ashera.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bomoa madhabahu yao, vunja mawe yao ya kuabudia, na ukatekate nguzo zao za Ashera.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mtazibomoa madhabahu zao na kuzivunja nguzo zao za ibada na sanamu zao za Ashera.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bomoa madhabahu zao, vunja mawe yao ya kuabudia na ukatekate nguzo zao za Ashera.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bomoa madhabahu yao, vunja mawe yao ya kuabudia na ukatekate nguzo zao za Ashera.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunjavunja nguzo zao, na kuyakatakata maashera yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mtazibomoa madhabahu zao na kuzivunja nguzo zao za ibada na sanamu zao za Ashera.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pao pa kutambikia sharti upabomoe, nazo nguzo zao za kutambikia sharti uzivunje, nayo miti yao ya Ashera sharti uikate!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mutabomoa mazabahu zao na kuvunja nguzo zao za ibada na sanamu zao za Ashera.