Exodus 34:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiabudu mungu yeyote mwingine, maana mimi Mwenyezi-Mungu najulikana kwa jina: ‘Mwenye Wivu,’ mimi ni Mungu mwenye wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiabudu mungu mwingine, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye jina lake ni Wivu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hutamwabudu mungu mwingine, kwa kuwa Bwana, ambaye jina lake ni mwenye wivu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiabudu mungu yeyote mwingine, maana mimi Mwenyezi-Mungu najulikana kwa jina: ‘Mwenye Wivu,’ mimi ni Mungu mwenye wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiabudu mungu mwingine, kwa kuwa BWANA, ambaye jina lake ni Wivu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiabudu mungu mwingine, kwa kuwa bwana, ambaye jina lake ni Wivu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hutamwabudu mungu mwingine, kwa kuwa BWANA, ambaye jina lake ni mwenye wivu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiabudu mungu yeyote mwingine, maana mimi Mwenyezi-Mungu najulikana kwa jina: ‘Mwenye Wivu,’ mimi ni Mungu mwenye wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiangukie mungu mwingine! Kwani Bwana huitwa mwenye wivu, naye ni Mungu mwenye wivu kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hutamwabudu mungu mwingine, kwa kuwa BWANA, ambaye jina lake ni mwenye wivu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiabudu mungu yeyote mwingine, maana mimi Yawe ninajulikana kwa jina: Mwenye Wivu. Mimi ni Mungu mwenye wivu.