Exodus 34:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifanye mikataba yoyote na wakazi wa nchi hiyo, maana watakapoiabudu miungu yao ya uongo na kuitambikia, watawaalikeni, nanyi mtashawishiwa kula vyakula wanavyoitambikia miungu yao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Uwe mwangalifu usifanye agano na wale watu wanaoishi katika nchi, kwa maana wakati wanapojifanyia ukahaba kwa miungu yao na kuwatolea kafara, watakualika wewe, nawe utakula sadaka za matambiko yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi, watu wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, na kuitolea sadaka miungu yao; mtu mmoja akakuita, ukaila sadaka yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifanye mikataba yoyote na wakazi wa nchi hiyo, maana watakapoiabudu miungu yao ya uongo na kuitambikia, watawaalikeni, nanyi mtashawishiwa kula vyakula wanavyoitambikia miungu yao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Uwe mwangalifu usifanye agano na wale watu wanaoishi katika nchi, kwa maana wakati wanapojifanyia ukahaba kwa miungu yao na kuwatolea kafara, watakualika wewe nawe utakula sadaka za matambiko yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Uwe mwangalifu usifanye agano na wale watu wanaoishi katika nchi, kwa maana wakati wanapojifanyia ukahaba kwa miungu yao na kuwatolea kafara, watakualika wewe nawe utakula sadaka za matambiko yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi, watu wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, na kuitolea sadaka miungu yao; mtu mmoja akakuita, ukaila sadaka yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifanye mikataba yoyote na wakazi wa nchi hiyo, maana watakapoiabudu miungu yao ya uongo na kuitambikia, watawaalikeni, nanyi mtashawishiwa kula vyakula wanavyoitambikia miungu yao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo usifanye agano na wenyeji wa nchi hiyo! Wao wakiifuata miungu yao pamoja na kufanya ugoni, tena wakiichinjia miungu yao ng'ombe za tambiko, wasikualike kula nyama za ng'ombe za tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi, watu wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, na kuitolea sadaka miungu yao; mtu mmoja akakuita, ukaila sadaka yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifanye mapatano yoyote na wakaaji wa inchi hiyo, maana watakapoabudu miungu yao ya uongo na kuitambikia, watawaalika, nanyi mutashawishiwa kula vyakula wanavyotambikia miungu yao.