Exodus 34:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nao wavulana wenu wakaoa binti zao, na hao binti wanaoabudu miungu yao, wakawashawishi wavulana wenu kufuata miungu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapowachagua baadhi ya binti zao kuwa wake wa wana wenu na binti hao wakajifanyia ukahaba kwa miungu yao, watawaongoza wana wenu kufanya vivyo hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukawaoza wana wako binti zao, nao binti zao wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, wakawavuta wana wenu wafanye uzinzi na miungu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nao wavulana wenu wakaoa binti zao, na hao binti wanaoabudu miungu yao, wakawashawishi wavulana wenu kufuata miungu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapowachagua baadhi ya binti zao kuwa wake wa wana wenu na binti hao wakajifanyia ukahaba kwa miungu yao, watawaongoza wana wenu kufanya vivyo hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapowachagua baadhi ya binti zao kuwa wake wa wana wenu na binti hao wakajifanyia ukahaba kwa miungu yao, watawaongoza wana wenu kufanya vivyo hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukawaoza wana wako binti zao, nao binti zao wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, wakawavuta wana wenu wafanye uzinzi na miungu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nao wavulana wenu wakaoa binti zao, na hao binti wanaoabudu miungu yao, wakawashawishi wavulana wenu kufuata miungu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala usiwachukulie wanao wa kiume wake kwa wana wao wa kike, nao wangewafanyisha wanao ugoni wa kuifuata miungu yao, wao wakiifuata miungu yao kufanya ugoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukawaoza wana wako binti zao, nao binti zao wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, wakawavuta wana wenu wafanye uzinzi na miungu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vijana wenu wakioa wabinti zao, na hao wabinti wanaoabudu miungu yao, watawashawishi vijana wenu kufuata miungu yao.