Exodus 34:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume ni wangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza wa kiume wa wanyama wako wote, wa ng'ombe na wa kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mzaliwa wa kwanza wa kila tumbo ni mali yangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza wote wa kiume wa mifugo yako, ikiwa ni wa ng’ombe au wa kondoo au mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila kifunguacho mimba ni changu mimi; na wanyama wako wote walio waume, wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na wa kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume ni wangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza wa kiume wa wanyama wako wote, wa ng'ombe na wa kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mzaliwa wa kwanza wa kila tumbo ni mali yangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza wote wa kiume wa mifugo yako, ikiwa ni wa ng'ombe au wa kondoo au mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mzaliwa wa kwanza wa kila tumbo ni mali yangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza wote wa kiume wa mifugo yako, ikiwa ni wa ng’ombe au wa kondoo au mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila kifunguacho mimba ni changu mimi; na wanyama wako wote walio wa kiume, wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na wa kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume ni wangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza wa kiume wa wanyama wako wote, wa ng'ombe na wa kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila aliye mwana wa kwanza wa mama yake awe wangu, hata kwa nyama wako wa kufuga kila mwana wa kiume wa kwanza ni wangu, kama ni ng'ombe au kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila kifunguacho mimba ni changu mimi; na wanyama wako wote walio waume, wazaliwa wa kwanza wa ng’ombe na wa kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila muzaliwa wa kwanza mwanaume ni wangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza dume wa nyama wako wote, wa ngombe na wa kondoo.