Exodus 34:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele yangu mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wako wote watakuja mbele za Bwana Mungu Mwenyezi, Mungu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara tatu kila mwaka watu waume wako wote watahudhuria mbele za Bwana MUNGU, Mungu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele yangu mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wako wote watakuja mbele za BWANA Mwenyezi, Mungu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara tatu kwa mwaka wanaume wako wote watakuja mbele za bwana Mwenyezi, Mungu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara tatu kila mwaka wanaume wako wote watahudhuria mbele za Bwana MUNGU, Mungu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele yangu mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mwaka mara tatu waume wako wote sharti watokee mbele ya Bwana Mungu aliye Mungu wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara tatu kila mwaka watu waume wako wote watahudhuria mbele za Bwana MUNGU, Mungu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele ya Bwana wenu, Yawe, Mungu wa Israeli.