Exodus 34:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msinitolee damu ya tambiko yangu pamoja na chachu; wala tambiko ya sikukuu ya Pasaka isibakizwe mpaka asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usinitolee damu ya dhabihu pamoja na kitu chochote chenye chachu, wala usibakize dhabihu yoyote ya Sikukuu ya Pasaka hadi asubuhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usisongeze damu ya sadaka yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu; wala hiyo sadaka ya sikukuu ya pasaka haitasazwa hata asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msinitolee damu ya tambiko yangu pamoja na chachu; wala tambiko ya sikukuu ya Pasaka isibakizwe mpaka asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Usinitolee damu ya dhabihu pamoja na kitu cho chote chenye chachu, wala usibakize dhabihu yo yote ya Sikukuu ya Pasaka mpaka asubuhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Usinitolee damu ya dhabihu pamoja na kitu chochote chenye chachu, wala usibakize dhabihu yoyote ya Sikukuu ya Pasaka mpaka asubuhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usisongeze damu ya sadaka yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu; wala hiyo sadaka ya sikukuu ya Pasaka haitasazwa hata asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msinitolee damu ya tambiko yangu pamoja na chachu; wala tambiko ya sikukuu ya Pasaka isibakizwe mpaka asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usichinje, ng'ombe yangu ya tambiko, damu yake ikimiminikia panapo chachu yo yote, wala nyama za ng'ombe ya tambiko ya sikukuu ya Pasaka zisilale mpaka kesho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usisongeze damu ya sadaka yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu; wala hiyo sadaka ya sikukuu ya pasaka haitasazwa hata asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musinitolee damu ya sadaka yangu pamoja na chachu, wala sadaka ya sikukuu ya Pasaka isiachwe mpaka asubui.