Exodus 34:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Leta matunda ya kwanza yaliyo bora zaidi ya ardhi yako katika nyumba ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vitu vya kwanza vya malimbuko ya nchi yako utavileta na kuvitia ndani ya nyumba ya Bwana Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Leta matunda ya kwanza yaliyo bora zaidi ya ardhi yako katika nyumba ya BWANA Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Leta matunda ya kwanza yaliyo bora zaidi ya ardhi yako katika nyumba ya bwana Mwenyezi Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vitu vya kwanza vya malimbuko ya nchi yako utavileta na kuvitia ndani ya nyumba ya BWANA Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malimbuko ya kwanza ya mashamba yako sharti uyapeleke Nyumbani mwa Bwana Mungu wako. Kitoto cha mbuzi usikipike katika maziwa ya mama yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vitu vya kwanza vya malimbuko ya nchi yako utavileta na kuvitia ndani ya nyumba ya BWANA Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mazao ya kwanza ya shamba yako utayaleta katika nyumba yangu mimi Yawe, Mungu wako. Usipike mwana-kondoo au mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.