Exodus 34:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alipokuwa anashuka mlimani Sinai akiwa na vile vibao viwili vyenye maneno ya agano mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa unangaa kwa sababu alikuwa ameongea na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alipoteremka kutoka Mlima Sinai akiwa na vile vibao viwili vya Ushuhuda mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa uking’aa, kwa sababu alikuwa amezungumza na Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa, Musa aliposhuka katika mlima Sinai, na zile mbao mbili za ushuhuda zilikuwa mkononi mwa Musa, hapo aliposhuka katika mlima, Musa hakujua ya kuwa ngozi ya uso wake iling'aa kwa sababu amesema naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alipokuwa anashuka mlimani Sinai akiwa na vile vibao viwili vyenye maneno ya agano mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa unang'aa kwa sababu alikuwa ameongea na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose alipotelemka kutoka Mlima Sinai akiwa na vile vibao viwili vya Ushuhuda mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa uking'aa, kwa sababu alikuwa amezungumza na BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alipoteremka kutoka Mlima Sinai akiwa na vile vibao viwili vya Ushuhuda mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa uking’aa, kwa sababu alikuwa amezungumza na bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa, Musa aliposhuka katika mlima Sinai, na zile mbao mbili za ushuhuda zilikuwa mkononi mwa Musa, hapo aliposhuka katika mlima, Musa hakujua ya kuwa ngozi ya uso wake iling'aa kwa sababu amesema naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alipokuwa anashuka mlimani Sinai akiwa na vile vibao viwili vyenye maneno ya agano mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa unangaa kwa sababu alikuwa ameongea na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Mose aliposhuka mlimani kwa Sinai alizishika hizo mbao mbili za Ushahidi mkononi mwake na kushuka mlimani kwa Sinai; hapo yeye Mose alikuwa hajui, ya kama ngozi ya uso wake inaangaza kwa kusema na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa, Musa aliposhuka katika mlima Sinai, na zile mbao mbili za ushuhuda zilikuwa mkononi mwa Musa, hapo aliposhuka katika mlima, Musa hakujua ya kuwa ngozi ya uso wake iling’aa kwa sababu amesema naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alipokuwa anashuka toka kwenye mulima Sinai akiwa na vile vibao viwili vyenye maneno ya agano katika mikono yake, hakujua kwamba uso wake ulikuwa unangaa kwa sababu alikuwa ameongea na Yawe.