Exodus 34:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni na watu Waisraeli wote walipomwona waliogopa kumkaribia, kwani uso wake ulikuwa unangaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni na Waisraeli wote walipomwona Musa, kuwa uso wake unang’aa, waliogopa kumkaribia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Haruni na wana wote wa Israeli walipomwona Musa, tazama, ngozi ya uso wake iling'aa; nao wakaogopa kumkaribia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni na watu Waisraeli wote walipomwona waliogopa kumkaribia, kwani uso wake ulikuwa unang'aa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni na Waisraeli wote walipomwona Mose, kuwa uso wake unang'aa, waliogopa kumkaribia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni na Waisraeli wote walipomwona Musa, kuwa uso wake unang’aa, waliogopa kumkaribia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Haruni na wana wote wa Israeli walipomwona Musa, tazama, ngozi ya uso wake iling'aa; nao wakaogopa kumkaribia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni na watu Waisraeli wote walipomwona waliogopa kumkaribia, kwani uso wake ulikuwa unangaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haroni na wana wa Isiraeli walipomwona Mose, mara wakaona, ya kama ngozi ya uso wake inaangaza; ndipo, walipoogopa kumkaribia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Haruni na wana wote wa Israeli walipomwona Musa, tazama, ngozi ya uso wake iling’aa; nao wakaogopa kumkaribia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni na watu Waisraeli wote walipomwona wakaogopa kumukaribia, maana uso wake ulikuwa unangaa.