Exodus 34:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mose alimwita Aroni na viongozi wa jumuiya ya Waisraeli waende karibu naye, kisha akazungumza nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Musa akawaita, kwa hiyo Haruni na viongozi wote wa jumuiya wakarudi, naye akazungumza nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaita; Haruni na wakuu wote wa kusanyiko wakarudi kwake; Musa akasema nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mose alimwita Aroni na viongozi wa jumuiya ya Waisraeli waende karibu naye, kisha akazungumza nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mose akawaita, kwa hiyo Aroni na viongozi wote wa jumuiya wakarudi, naye akazungumza nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Musa akawaita, kwa hiyo Haruni na viongozi wote wa jumuiya wakarudi, naye akazungumza nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaita; Haruni na wakuu wote wa kusanyiko wakarudi kwake; Musa akasema nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mose alimwita Aroni na viongozi wa jumuiya ya Waisraeli waende karibu naye, kisha akazungumza nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipowaita, wakarudi kwake, Haroni nao watu wote walio wakuu penye mkutano wakarudi kwake, naye Mose akasema nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaita; Haruni na wakuu wote wa kusanyiko wakarudi kwake; Musa akasema nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Musa alimwita Haruni na viongozi wote wa Waisraeli waende karibu naye, kisha akazungumuza nao.