Exodus 34:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Waisraeli wote wakaja karibu naye, naye akawapa amri zote ambazo Mwenyezi-Mungu alimpa kule mlimani Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye Waisraeli wote wakamkaribia, naye akawapa amri zote Mwenyezi Mungu alizompa katika Mlima Sinai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baadaye wana wa Israeli wote wakakaribia; akawausia maneno yote ambayo Bwana amemwambia katika mlima Sinai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Waisraeli wote wakaja karibu naye, naye akawapa amri zote ambazo Mwenyezi-Mungu alimpa kule mlimani Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye Waisraeli wote wakamkaribia, naye akawapa amri zote BWANA alizompa katika Mlima wa Sinai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye Waisraeli wote wakamkaribia, naye akawapa amri zote bwana alizompa katika Mlima wa Sinai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baadaye wana wa Israeli wote wakakaribia; akawausia maneno yote ambayo BWANA amemwambia katika mlima Sinai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Waisraeli wote wakaja karibu naye, naye akawapa amri zote ambazo Mwenyezi-Mungu alimpa kule mlimani Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baadaye wana wote wa Isiraeli wakamkaribia, akawaagiza yote, Bwana aliyomwambia mlimani kwa Sinai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baadaye wana wa Israeli wote wakakaribia; akawausia maneno yote ambayo BWANA amemwambia katika mlima Sinai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Waisraeli wote wakakuja karibu naye, naye akawapa amri zote ambazo Yawe alimupa kule juu ya mulima Sinai.