Exodus 34:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nao Waisraeli waliuona uso wake unangaa. Ndipo Mose alipoufunika tena uso wake kwa kitambaa mpaka alipokwenda kuongea na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliona kuwa uso wake unang’aa. Kisha Musa angerudisha utaji juu ya uso wake hadi alipoingia ili kuzungumza na Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakauona uso wa Musa ya kuwa ngozi ya uso wake Musa iling'aa; naye Musa akautia utaji juu ya uso wake tena, hata alipoingia kusema naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nao Waisraeli waliuona uso wake unang'aa. Ndipo Mose alipoufunika tena uso wake kwa kitambaa mpaka alipokwenda kuongea na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliona kuwa uso wake unang'aa. Kisha Mose angeliweka tena utaji juu ya uso wake mpaka alipokwenda kuzungumza na BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
waliona kuwa uso wake unang’aa. Kisha Musa angeliweka tena utaji juu ya uso wake mpaka alipokwenda kuzungumza na bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakauona uso wa Musa ya kuwa ngozi ya uso wake Musa iling'aa; naye Musa akautia utaji juu ya uso wake tena, hata alipoingia kusema naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nao Waisraeli waliuona uso wake unangaa. Ndipo Mose alipoufunika tena uso wake kwa kitambaa mpaka alipokwenda kuongea na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Isiraeli wakauona uso wake, ya kuwa uso wa Mose unaangaza; ndipo, Mose alipourudisha mharuma usoni pake, mpaka aingie tena kusema na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakauona uso wa Musa ya kuwa ngozi ya uso wake Musa iling’aa; naye Musa akautia utaji juu ya uso wake tena, hata alipoingia kusema naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao Waisraeli waliona uso wake unangaa. Halafu Musa alifunika tena uso wake kwa kitambaa mpaka alipokwenda kuongea na Yawe.