Exodus 35:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alikusanya jumuiya yote ya Waisraeli, akawaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Mwenyezi-Mungu amewaamuru muyafanye:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndio mambo ambayo Mwenyezi Mungu amewaamuru ninyi mfanye:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akakutanisha mkutano wote wa wana wa Israeli, na kuwaambia, Maneno aliyoyausia Bwana ni haya, kwamba myafanye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alikusanya jumuiya yote ya Waisraeli, akawaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Mwenyezi-Mungu amewaamuru muyafanye:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo BWANA amewaamuru ninyi mfanye:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo bwana amewaamuru ninyi mfanye:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akakutanisha mkutano wote wa wana wa Israeli, na kuwaambia, Maneno aliyoyausia BWANA ni haya, kwamba myafanye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alikusanya jumuiya yote ya Waisraeli, akawaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Mwenyezi-Mungu amewaamuru muyafanye:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akaukutanisha mkutano wote wa wana wa Isiraeli, akawaambia: Haya maneno ndiyo, Bwana aliyowaagiza kuyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akakutanisha mkutano wote wa wana wa Israeli, na kuwaambia, Maneno aliyoyausia BWANA ni haya, kwamba myafanye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akakusanya Waisraeli wote pamoja, akawaambia: Haya ndiyo mambo ambayo Yawe amewaamuru kufanya: