Exodus 35:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kila mtu mwenye ujuzi wa kazi fulani miongoni mwenu atakuja kufanya vitu vyote alivyoamuru Mwenyezi-Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wote wenye ujuzi miongoni mwenu inawapasa kuja na kutengeneza kila kitu Mwenyezi Mungu alichoamuru:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila mtu kati yenu aliye na moyo wa hekima na aje, na kuyafanya hayo yote ambayo Bwana ameyaagiza;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kila mtu mwenye ujuzi wa kazi fulani miongoni mwenu atakuja kufanya vitu vyote alivyoamuru Mwenyezi-Mungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wote wenye ujuzi miongoni mwenu inawapasa kuja na kutengeneza kila kitu BWANA alichoamuru:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wote wenye ujuzi miongoni mwenu inawapasa kuja na kutengeneza kila kitu bwana alichoamuru:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila mtu kati yenu aliye na moyo wa hekima na aje, na kuyafanya hayo yote ambayo BWANA ameyaagiza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kila mtu mwenye ujuzi wa kazi fulani miongoni mwenu atakuja kufanya vitu vyote alivyoamuru Mwenyezi-Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote walio wenye werevu wa kweli mioyoni kwenu na waje kuyatengeneza yote, Bwana aliyoyaagiza:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila mtu kati yenu aliye na moyo wa hekima na aje, na kuyafanya hayo yote ambayo BWANA ameyaagiza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mutu mwenye ujuzi wa kazi fulani kati yenu atakuja kufanya vitu vyote Yawe alivyoamuru: