Exodus 35:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutengeneza hema takatifu, kifuniko chake na pazia lake, kulabu zake, pau zake, vikalio vyake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Maskani ya Mungu pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yaani, hiyo maskani na hema yake, na kifuniko chake, na vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na viguzo vyake, na matako yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kutengeneza hema takatifu, kifuniko chake na pazia lake, kulabu zake, pau zake, vikalio vyake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yaani, hiyo maskani na hema yake, kifuniko chake, vifungo vyake, mbao zake, mataruma yake, viguzo vyake na vitako vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutengeneza hema takatifu, kifuniko chake na pazia lake, kulabu zake, pau zake, vikalio vyake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kao lenyewe pamoja na Hema lake na chandalua chake na vifungo vyake na mbao zake na misunguo yake na nguzo zake na miguu yao;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yaani, hiyo maskani na hema yake, na kifuniko chake, na vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na viguzo vyake, na matako yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kutengeneza hema takatifu, kifuniko chake na pazia lake, vifungio vyake, miti yake, vikalio vyake;