Exodus 35:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sanduku la agano pamoja na mipiko yake, kiti cha rehema, pazia la mahali patakatifu sana;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hilo sanduku, na miti yake, na hicho kiti cha rehema, na lile pazia la sitara;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sanduku la agano pamoja na mipiko yake, kiti cha rehema, pazia la mahali patakatifu sana;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hilo sanduku, miti yake, hicho kiti cha rehema na lile pazia la sitara;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sanduku la agano pamoja na mipiko yake, kiti cha rehema, pazia la mahali patakatifu sana;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lile Sanduku (la ushahidi) na mipiko yake na Kiti cha Upozi na pazia la kukifungia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hilo sanduku, na miti yake, na hicho kiti cha rehema, na lile pazia la sitara;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sanduku la Agano pamoja na miti yake, kiti cha rehema, pazia la Pahali Patakatifu Sana;