Exodus 35:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mwenyezi-Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
meza na mipiko yake, pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonesho;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hiyo meza, na miti yake, na vyombo vyake vyote, na hiyo mikate ya wonyesho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mwenyezi-Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonyesho;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonyesho;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hiyo meza, miti yake, vyombo vyake vyote na hiyo mikate ya wonyesho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mwenyezi-Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
meza na mipiko yake na vyombo vyake vyote na mikate ya kuwa usoni pa Bwana;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hiyo meza, na miti yake, na vyombo vyake vyote, na hiyo mikate ya wonyesho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
meza na miti yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate iliyotolewa kwa Yawe;