Exodus 35:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
madhabahu ya ubani na mipiko yake, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri, pazia la mlango wa hema takatifu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
madhabahu ya kufukiza uvumba pamoja na mipiko yake, mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri; pazia la mlangoni mahali pa kuingilia ndani ya Maskani;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hiyo madhabahu ya kufukizia uvumba, na miti yake, na hayo mafuta ya kupaka, na huo uvumba mzuri, na hicho kisitiri cha mlango, mlangoni mwa hiyo maskani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
madhabahu ya ubani na mipiko yake, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri, pazia la mlango wa hema takatifu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
madhabahu ya kufukiza uvumba pamoja na mipiko yake, mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri; pazia la mlangoni mahali pa kuingilia ndani ya maskani;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
madhabahu ya kufukiza uvumba pamoja na mipiko yake, mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri; pazia la mlangoni mahali pa kuingilia ndani ya maskani;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hiyo madhabahu ya kufukizia uvumba, miti yake, hayo mafuta ya kupaka, huo uvumba mzuri na hicho kisitiri cha mlango, mlangoni mwa hiyo maskani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
madhabahu ya ubani na mipiko yake, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri, pazia la mlango wa hema takatifu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
meza ya kuvukizia na mipiko yake na mafuta ya kupaka na mavukizo yanukayo vizuri na nguo za pazia ya hapo pa kuliingilia Kao;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hiyo madhabahu ya kufukizia uvumba, na miti yake, na hayo mafuta ya kupaka, na huo uvumba mzuri, na hicho kisitiri cha mlango, mlangoni mwa hiyo maskani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mazabahu ya ubani na miti yake, mafuta ya kupakaa na ubani wenye harufu nzuri, pazia la mulango wa hema takatifu;