Exodus 35:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
madhabahu ya sadaka za kuteketezwa pamoja na wavu wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, birika na tako lake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
madhabahu ya sadaka za kuteketeza pamoja na wavu wake wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote; sinia la shaba pamoja na tako lake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, pamoja na wavu wake wa shaba, na miti yake, na vyombo vyake vyote, na hilo birika na tako lake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
madhabahu ya sadaka za kuteketezwa pamoja na wavu wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, birika na tako lake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
madhabahu ya sadaka za kuteketeza pamoja na wavu wake wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote; sinia la shaba pamoja na kitako chake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
madhabahu ya sadaka za kuteketeza pamoja na wavu wake wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote; sinia la shaba pamoja na tako lake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, pamoja na wavu wake wa shaba, miti yake, vyombo vyake vyote hilo birika na kitako chake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
madhabahu ya sadaka za kuteketezwa pamoja na wavu wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, birika na tako lake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
meza ya kuteketezea ng'ombe za tambiko pamoja na wavu wake wa shaba na mipiko yake na vyombo vyake vyote na birika na wekeo lake;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, pamoja na wavu wake wa shaba, na miti yake, na vyombo vyake vyote, na hilo birika na tako lake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mazabahu ya sadaka za kuteketezwa pamoja na wavu wa shaba, miti yake pamoja na vyombo vyake vyote, birika na tako lake;