Exodus 35:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake, pazia la mlango wa ua;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pazia la eneo la ua pamoja na nguzo zake na vitako vyake, na pazia la ingilio la ua;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hizo kuta za nguo za ua, na viguzo vyake, na matako yake, na pazia la lango la ua;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake, pazia la mlango wa ua;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pazia la eneo la ua pamoja na nguzo zake na vitako vyake, pazia la ingilio la kwenye ua;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pazia la eneo la ua pamoja na nguzo zake na vitako vyake, pazia la ingilio la kwenye ua;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hizo kuta za nguo za ua, viguzo vyake, vitako vyake na pazia la lango la ua;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake, pazia la mlango wa ua;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nguo za ua na nguzo zake na miguu yake na pazia la langoni kwa ua;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hizo kuta za nguo za ua, na viguzo vyake, na matako yake, na pazia la lango la ua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nguo za kiwanja, nguzo zake na vikalio vyake, pazia la mulango wa kiwanja;