Exodus 35:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa siku sita mtafanya kazi zenu; lakini siku ya saba ni Sabato siku ya mapumziko ambayo ni wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Yeyote atakayefanya kazi siku hiyo lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, Sabato ya mapumziko kwa Mwenyezi Mungu. Yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo ni lazima auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanyeni kazi siku sita, lakini siku ya saba itakuwa siku takatifu kwenu; ni Sabato ya kustarehe kabisa kwa Bwana; mtu awaye yote atakayefanya kazi yo yote katika siku hiyo atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa siku sita mtafanya kazi zenu; lakini siku ya saba ni Sabato siku ya mapumziko ambayo ni wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Yeyote atakayefanya kazi siku hiyo lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, Sabato ya kupumzika kwa BWANA. Ye yote atakayefanya kazi yo yote siku hiyo ni lazima auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, Sabato ya kupumzika kwa bwana. Yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo ni lazima auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanyeni kazi siku sita, lakini siku ya saba itakuwa siku takatifu kwenu; ni Sabato ya kustarehe kabisa kwa BWANA; mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote katika siku hiyo atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa siku sita mtafanya kazi zenu; lakini siku ya saba ni Sabato siku ya mapumziko ambayo ni wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Yeyote atakayefanya kazi siku hiyo lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kazi na zifanywe siku sita, lakini siku ya saba sharti iwe takatifu kwenu kuwa siku ya Bwana ya kupumzika kabisa. Kila atakayefanya siku hiyo kazi yo yote hana budi kuuawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanyeni kazi siku sita, lakini siku ya saba itakuwa siku takatifu kwenu; ni Sabato ya kustarehe kabisa kwa BWANA; mtu awaye yote atakayefanya kazi yo yote katika siku hiyo atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa siku sita mutafanya kazi zenu. Lakini siku ya saba ni Sabato, siku ya mapumziko ambayo ni takatifu kwa Yawe. Yeyote atakayefanya kazi siku hiyo lazima auawe.