Exodus 35:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu aliyeweza kutoa fedha au shaba aliileta kwa Mwenyezi-Mungu kama toleo lake. Tena mtu yeyote aliyekuwa na mbao za mjohoro alileta pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliotoa sadaka ya fedha au shaba wakavileta kama sadaka kwa Mwenyezi Mungu, na kila aliyekuwa na mti wa mshita kwa ajili ya kazi yoyote ile akauleta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mtu aliyetoa toleo la fedha, na la shaba, akaileta sadaka ya Bwana; na kila mtu, aliyeona kwake mti wa mshita kwa kazi yo yote ya huo utumishi, akauleta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu aliyeweza kutoa fedha au shaba aliileta kwa Mwenyezi-Mungu kama toleo lake. Tena mtu yeyote aliyekuwa na mbao za mjohoro alileta pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliotoa sadaka ya fedha au shaba wakavileta kama sadaka kwa BWANA, na kila aliyekuwa na mti wa mshita kwa ajili ya kazi yo yote ile akauleta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliotoa sadaka ya fedha au shaba wakavileta kama sadaka kwa bwana, na kila aliyekuwa na mti wa mshita kwa ajili ya kazi yoyote ile akauleta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mtu aliyetoa toleo la fedha, na la shaba, akaileta sadaka ya BWANA; na kila mtu, aliyeona kwake mti wa mshita kwa kazi yoyote ya huo utumishi, akauleta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu aliyeweza kutoa fedha au shaba aliileta kwa Mwenyezi-Mungu kama toleo lake. Tena mtu yeyote aliyekuwa na mbao za mjohoro alileta pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote waliotaka kutoa fedha na shaba kuwa vipaji vyao vya tambiko wakazileta kumpa Bwana hivyo vipaji vya tambiko. Nao wote walioona kwao miti ya migunga iliyofaa kutumiwa kwa kazi yo yote wakaileta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mtu aliyetoa toleo la fedha, na la shaba, akaileta sadaka ya BWANA; na kila mtu, aliyeona kwake mti wa mshita kwa kazi yo yote ya huo utumishi, akauleta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mutu aliyeweza kutoa feza au shaba aliileta kwa Yawe kama matoleo yake. Tena mutu yeyote aliyekuwa na mbao za mujohoro alileta vilevile.