Exodus 35:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viongozi walileta vito vya rangi na mawe mengine kwa ajili ya kizibao na kifuko cha kifuani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wakaleta vito vya shohamu pamoja na vito vingine vya thamani kwa ajili ya kuweka kwenye kizibau na kwenye kifuko cha kifuani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao wakuu wakavileta vile vito vya shohamu, na vito vya kutiwa, kwa hiyo naivera, na kwa hicho kifuko cha kifuani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viongozi walileta vito vya rangi na mawe mengine kwa ajili ya kizibao na kifuko cha kifuani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wakaleta vito vya shohamu pamoja na vito vingine vya thamani kwa ajili ya kuweka kwenye kisibau na kwenye kifuko cha kifuani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wakaleta vito vya shohamu pamoja na vito vingine vya thamani kwa ajili ya kuweka kwenye kisibau na kwenye kifuko cha kifuani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao wakuu wakavileta vile vito vya shohamu, na vito vya kutiwa, kwa hiyo naivera, na kwa hicho kifuko cha kifuani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viongozi walileta vito vya rangi na mawe mengine kwa ajili ya kizibao na kifuko cha kifuani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakuu wakaleta vito vya oniki na vito vingine vya kutiwa katika kisibau cha mtambikaji mkuu na katika kibati cha kifuani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao wakuu wakavileta vile vito vya shohamu, na vito vya kutiwa, kwa hiyo naivera, na kwa hicho kifuko cha kifuani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viongozi walileta mawe ya rangi na mawe mengine kwa ajili ya kizibao na kifuko cha kifua.