Exodus 35:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
walileta pia viungo na mafuta kwa ajili ya taa, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaleta pia vikolezo na mafuta ya zeituni kwa ajili ya mwanga, kwa ajili ya mafuta ya upako na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na viungo vya manukato, na mafuta; kwa hiyo taa, na kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
walileta pia viungo na mafuta kwa ajili ya taa, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaleta pia vikolezi na mafuta ya zeituni kwa ajili ya mwanga, kwa ajili ya mafuta ya upako na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaleta pia vikolezi na mafuta ya zeituni kwa ajili ya mwanga, kwa ajili ya mafuta ya upako na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na viungo vya manukato, na mafuta; kwa hiyo taa, na kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
walileta pia viungo na mafuta kwa ajili ya taa, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na manukato na mafuta ya taa na ya kutengeneza mafuta ya kupaka na mavukizo yanukayo vizuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na viungo vya manukato, na mafuta; kwa hiyo taa, na kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walileta vilevile viungo na mafuta kwa ajili ya taa, mafuta ya kupakaa na ubani wenye harufu nzuri.