Exodus 35:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwashe hata moto katika makao yenu siku ya Sabato.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwashe hata moto katika makao yenu siku ya Sabato.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiwashe moto mahali po pote katika makazi yenu siku ya Sabato.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamtawasha moto katika nyumba zenu siku ya Sabato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwashe hata moto katika makao yenu siku ya Sabato.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiwashe moto siku ya mapumziko po pote, mtakapokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiwashe hata moto katika makao yenu siku ya Sabato.