Exodus 35:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akawaambia Waisraeli, “Tazameni, Mwenyezi Mungu amemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, Bwana amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akawaambia Waisraeli, “Tazameni, BWANA amemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akawaambia Waisraeli, “Tazameni, bwana amemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, BWANA amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akawaambia wana wa Israeli: Tazameni, Bwana amemwita kwa jina lake Besaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa shina la Yuda;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, BWANA amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia Waisraeli: Muangalie! Yawe amemuchagua Bezaleli mwana wa Uri mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.