Exodus 35:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye amemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, na uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye amemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na akili, na ujuzi, na kazi ya ustadi kila aina;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye amemjaza Roho wa Mungu, na ujuzi, uwezo na ustadi katika aina zote za ufundi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye amemjaza Roho wa Mwenyezi Mungu, pamoja na ustadi, na uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye amemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na akili, na ujuzi, na kazi ya ustadi kila aina;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamjaza roho yake ya Kimungu na kumgawia werevu wa kweli na utambuzi na ujuzi wa kutengeneza kazi yo yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye amemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na akili, na ujuzi, na kazi ya ustadi kila aina;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amemujaza Roho wake, amemupa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,