Exodus 35:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
abuni michoro ya sanaa na kufanya kazi za kufua dhahabu, fedha na shaba;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuvumbua kazi za werevu, na kufanya kazi ya dhahabu, na fedha, na shaba,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
abuni michoro ya sanaa na kufanya kazi za kufua dhahabu, fedha na shaba;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kutengeneza michoro ya kitaalamu kwa ajili ya kazi za dhahabu, fedha na shaba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuvumbua kazi za werevu, na kufanya kazi ya dhahabu, fedha na shaba,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
abuni michoro ya sanaa na kufanya kazi za kufua dhahabu, fedha na shaba;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ajue kuvumbua kazi nzuri za ufundi wa kufua dhahabu na fedha na shaba;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuvumbua kazi za werevu, na kufanya kazi ya dhahabu, na fedha, na shaba,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
afanye michoro ya ufundi na kufanya kazi za kufua zahabu, feza na shaba;