Exodus 35:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
achonge mawe ya kupambia na mbao kwa ajili ya kazi nyingine zote za kifundi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi wa kupendeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kukata vito vya kutilia, na kuchora miti, atumike katika kazi za werevu kila aina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
achonge mawe ya kupambia na mbao kwa ajili ya kazi nyingine zote za kifundi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuchonga na kuyatia mawe mahali, kufanya kazi za mbao na kuhusika katika aina zote za kazi za ubunifu na ufundi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi wa kupendeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kukata vito vya kutilia, na kuchora miti, atumike katika kazi za ufundi wa kila aina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
achonge mawe ya kupambia na mbao kwa ajili ya kazi nyingine zote za kifundi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye ni fundi wa kukatakata vito na kuvizungushia vikingo na fundi wa kuchora miti na fundi wa kufanya kazi zote za ufundi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kukata vito vya kutilia, na kuchora miti, atumike katika kazi za werevu kila aina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
achonge mawe ya kupamba na mbao kwa ajili ya kazi zingine zote za kifundi.