Exodus 35:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia amemwongoza yeye na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani wawafundishe wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena amempa yeye pamoja na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, uwezo wa kufundisha wengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye amemtilia moyoni mwake ili apate kufundisha, yeye, na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia amemwongoza yeye na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani wawafundishe wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena amemvuvia pamoja naye utaalamu huo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, uwezo wa kufundisha wengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena amempa yeye pamoja na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, uwezo wa kufundisha wengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye amemtilia moyoni mwake uwezo ili apate kufundisha, yeye, na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia amemwongoza yeye na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani wawafundishe wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena akampa moyoni mwake uwezo wa kufundisha wengine, yeye na mwenzake Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa shina la Dani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye amemtilia moyoni mwake ili apate kufundisha, yeye, na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile amemwongoza yeye na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani wawafundishe wengine.