Exodus 35:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose aliiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu amewaamuru mlifanye:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu aliloamuru:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akanena na mkutano wote wa wana wa Israeli, akawaambia, Neno hili ndilo aliloliamuru Bwana, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose aliiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu amewaamuru mlifanye:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo BWANA aliloamuru:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo bwana aliloamuru:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akanena na mkutano wote wa wana wa Israeli, akawaambia, Neno hili ndilo aliloliamuru BWANA, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose aliiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu amewaamuru mlifanye:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akauambia mkutano wote wa wana wa Isiraeli kwamba: Hili nalo ni neno, Bwana aliloliagiza kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akanena na mkutano wote wa wana wa Israeli, akawaambia, Neno hili ndilo aliloliamuru BWANA, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia Waisraeli wote: Hili ndilo jambo ambalo Yawe amewaamuru kufanya: