Exodus 35:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatoa katika mali zenu mchango wa kumpa Mwenyezi-Mungu. Kila mtu mwenye moyo mwema atamletea Mwenyezi-Mungu mchango: Dhahabu, fedha, shaba;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Toeni sadaka kwa Mwenyezi Mungu kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea Mwenyezi Mungu sadaka ya: “dhahabu, fedha na shaba;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katwaeni kati yenu matoleo kwa Bwana; mtu awaye yote aliye na moyo wa kupenda, ayalete matoleo; dhahabu na fedha na shaba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatoa katika mali zenu mchango wa kumpa Mwenyezi-Mungu. Kila mtu mwenye moyo mwema atamletea Mwenyezi-Mungu mchango: dhahabu, fedha, shaba;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Toeni kutoka katika yale mliyo nayo, sadaka kwa BWANA. Kila mmoja kwa moyo wa kupenda atamletea BWANA sadaka ya dhahabu, fedha na shaba;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Toeni sadaka kwa bwana kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea bwana sadaka ya dhahabu, fedha na shaba;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katwaeni kati yenu matoleo kwa BWANA; mtu yeyote aliye na moyo wa kupenda, ayalete matoleo; dhahabu na fedha na shaba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatoa katika mali zenu mchango wa kumpa Mwenyezi-Mungu. Kila mtu mwenye moyo mwema atamletea Mwenyezi-Mungu mchango: Dhahabu, fedha, shaba;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchangieni Bwana kwenu vipaji vya tambiko, kila mtu na avilete hivyo vipaji vya tambiko vya kumpa Bwana, kama moyo wake unavyomtuma: dhahabu na fedha na shaba,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katwaeni kati yenu matoleo kwa BWANA; mtu awaye yote aliye na moyo wa kupenda, ayalete matoleo; dhahabu na fedha na shaba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatoa katika mali zenu muchango wa kumupa Yawe. Kila mutu mwenye moyo mwema atamuletea Yawe muchango: sadaka, feza, shaba;